mwinamijr / qur-an-tafsiri Goto Github PK
View Code? Open in Web Editor NEWHii ni tafsiri ya Quran inayotafsiriwa kwa lugha fasaha ya kiswahili kuendana na ulimwengu wa leo wa sayansi na teknolojia. Tafsiri hii inatolewa kila siku za wiki za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili na Sheikh Hussein H. Mwinami katika msikiti wa Bonga mijini
License: MIT License